top of page

Miezi 12 ya kwanza ya newborn baby



Anaanza mtoto mchanga asiye na uwezo kufanya chochote hadi kuwa mtoto mwenye shughuli nyingi: Hatua za ukuaji za newborn baby huchukua miezi 12 tu kwa mtoto wako kupitia mabadiliko haya ya ajabu. Watoto wanakua na kubadilika kwa kasi ya kushangaza, na kila mwezi unaleta maendeleo mapya na ya kusisimua. (NB: Kuona maneno yote gusa alama ya mshale upande wa juu kulia kwenye picha)

bottom of page